BurudaniEntertainment

NEW MUSIC ALERT!! HAPPY C -TAUSI

Baada ya kufanya vizuri na Index001, ngoma iliyofanya vizuri sana kwenye chat za Radio na Runinga na vile vile kwenye mitandao ya Kijamii. Happy C Msanii aliye chini ya uongozi wa 001Music sasa ameibuka na EP ya ngoma Tatu inayokwenda kwa Jina Melissa. iliyo ngoma kama vile Tausi ambayo imeachiliwa leo July 12 2021.

Itazame hapa.

 

By Yussuf Tsuma