HabariSiasa

CHAMA CHA ODM CHA JIONDOA KATIKA MUUNGANO WA NASA

Hatimaye chama cha ODM kimejondoa rasmi katika muungano wa NASA.

Uamuzi huo umeafikiwa mbda mchache uliopoita katika mkutano wa baraza kuu la kitaifa la chama hicho.

ODM imesema imechukua hatua hiyo ilikuwa huru kujiunga na vyama vyengine kubuni miungano miengine mikubwa ya kisiasa.

Hatua ya chama cha ODM inajiri siku mbili tu baada ya chama cha Wiper Kujiondoa,huku chama cha Amani kikiwa cha kwanza kujiondoa.

kuhusu suala la mzozo wa mgao wa fedha katika muungano huo, Chama cha ODM kimesema fedha za muungano huo zilitolewa kulingana na kisheria kwa kuzingatiaidadi ya wabunge wa vya vilivyokuwa katika muungano huo.

By David Otieno