BurudaniEntertainment

New Music Video Alert! Wamoto-Beka The Boy

Mtaani wana lugha yao ‘mawe juu ya mawe’ Huu nimsemo unaoelezea kitendo cha kufanya kazi mfululizo bila kupumzika, Msanii Beka The Boy anathibisha hili, hii ni baada ya kuachilia kazi mpya punde tu baada ya kutesa anga za burudani na ngoma inayokwenda kwa jina Jibebe. Video mpya na kwa mtindo wa kipekeee Wamoto Itazame hapa.