HabariSiasa

NAIBU WA RAIS WILLIAM RUTO AITAKA WIZARA YA KAWI KUKAABILIANA NA MAAFISA MAFISADI…………..

Naibu rais William Ruto ameitaka wizara ya Kawi kukabiliana na maafisa mafisadi waliohusika katika upandishaji wa bei ya mafuta nchini hivi majuzi.
Akizungumza na viongozi nyumbani mwake huko Karen jijini Nairobi, Ruto anashangazwa kuona namna bei ya mafuta nchini Uganda iko chini kulinganishwa na humu nchini ambapo taifa hilo huagiza petrol na husafirishwa kupitia humu nchini.
Ruto anaai kuwa anaimani kuwa baadhi ya maafisa katika wizara hiyo walishirikiana na matapeli nchini ili kupatisha bei hizo kwa manufaa yao ya kibinafsi.