HabariNews

Rais Uhuu Kenyatta ameongoza hafla ya kufuzu kwa makuru wa shirika la huduma za vijana NYS katika kaunti ya Nakuru.

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza hafla ya kufuzu kwa makuru wa shirika la huduma za vijana NYS katika kaunti ya Nakuru.
Akihutubia katika kituo cha mafunzo ya NYS Gilgil, rais Kenyatta amepongeza hatua zilizopigwa katika shirika hilo akisema hadhi yake imerejea tofauti na mwanzoni ambapo ilikuwa imezingirwa na kesi za ufisadi.
Ameitaka idara ya polisi na vitengo vyengne vya serikali nchini kuwapa kipaumbele NYS katika kuwapa ajira.