Muungano wa wafanyikazi katika shirika la POSTA wamtaka mkurugenzi mkuu wa shirika kujiuzulu mara moja
December 21, 20210
Muungano wa wafanyikazi katika shrike la POSTA hapa mjini mombasa umelalamikia uongozi duni katika shirika hilo na kumtaka mkurugenzi mku wa shirika hilo Dan Kagwe kujiaondoa mara moja