HabariKimataifaNews

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anakabiliwa na mashtaka mapya.

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anakabiliwa na mashtaka mapya ya mapendeleo wakati wa uongozi wake.
Kwenye Ripoti ya Jopo lililokuwa likifanya uchunguzi huru na kusomwa mahakamani,Zuma anadaiwa kushirikiana na familia ya mfanyibiashara maarufu Gupta kutoa zabuni na ajira kwa mapendeleo kinyume cha sheria.
Jaji wa mahakama kuu nchini Afrika Kusini Raymond Zondo amekiri ripoti hiyo ya kurasa 874 imebeba ushahidi mzito ambao zuma anastahili kujibu.

BY EDITORIAL DESK