Pety Nila alizaliwa Kitui, Kenya. Alianza muziki alipokuwa mdogo zaidi akicheza na kuimba kwa kutumbuiza katika shule ya Msingi,kanisani na hafla za jamii. Pety ni mama wa watoto 4 na ameolewa nchini Ujerumani ambako amepata mafunzo ya kitaaluma ya sauti. Hii imemsaidia katika utunzi ,uimbaji na vilevile uandishi wa nyimbo, kuanzia nyimbo za mapenzi za Kiitaliano, kitamaduni,nyimbo za pop na za kiroho. Alirekodi wimbo wake wa kwanza jijini Nairobi. Wimbo “Likizo” umewekwa ili kuunda furaha nyepesi ukiwa wimbo mzuri wa kiangazi kwa kila mtu kufurahia. Pety Nila ni rahisi na anafurahisha kuwa naye. Kwa sasa Pety Nila anapania kuwa mmoja ya wasanii wa kike Tajika Afrika. Baadhi ya ngoma zake zinazotamba Africa Mashariki ni “Unanidai”
Itizame hapa
Dondosha