BurudaniEntertainmentFunWorld

New Music Alert!! Sele – Masauti ft Sammy Young

Wana sema Mwendo ni wa Ngoma Juu ya ngoma baada ya kutamba na Ngoma no Stress aliyomshirikisha Mwanamuziki mwenye umri mdogo zaidi inchini Kenya Trio Mio, Masauti amerudia tena na ngoma mpya aliyomshirikisha Msanii wa kizazi kipya wa dubai anafahamika kama Sammy Young. Masauti ameonekana kutammba uarabuni ikikumbukwa wimbo wake wa kwanza Mahabuba ulioachiliwa mnamo Nov 2015 ulichukua nafasi kubwa ya Muziki wa Afrika Mashariki na ukapanda haraka hadi kwenye Chati kadhaa za Ndani Afrika Mashariki na pia ukaingia Afrika Magharibi na sehemu za Uarabuni. Kwav sasa amekuja na ujio mpya “Sele””
Itazame hapa

By Eric Mwangi