HabariNews

Aliyekuwa mbunge wa mlima Elgon John Serut ameaga dunia.

Aliyekuwa mbunge wa mlima Elgon John Serut ameaga dunia.
Kulingana na familia yake Serut amefariki katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya kuugua ugonjwa wa Saratani kwa mda.
Serut alikuwa mbunge kati ya mwaka 2007 kabla ya kurejea tena kati ya mwaka 2013 na 2017.
Amekuwa akiugua Saratani kwa muda huku familia yake ikiomba usaidizi kugharamia matibabu.