AfyaHabari

Afisa mkuu wa KEMSA Terry Kiunge amesema uongozi wake umeweka mikakati ya kuimarisha utendakazi wa KEMSA.

Afisa mkuu mtendaji wa mamlaka ya usambazaji dawa KEMSA Terry Kiunge amesema uongozi wake umeweka mikakati ya kuimarisha utendakazi wa Mamlaka hiyo ambayo imekuwa ikimbwa na Sakata tofauti.
Kiunge amehakikishia wakenya kuwa licha ya madai kuwa hajahitimu kuwa afisa mkuu mtendaji wa KEMSA, anauwezo wa kubadili maswala mengi katika mamlaka yenya.
Alikuwa akihojiwa na idhaa moja hapa nchini Mapema leo.

>> News Desk…