Viongozi wa chama acha Wiper kutoka kaunti ya Machakos wametishia kuishtaki mahakama katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu iwapo haitafidia waliobomolewa makaazi yao katika eneo la Mavoko kaunti ya Machakos.
Viongozi hao wakiongozwa na gavana Wavinya Ndeti, mbunge wa Matumbulu Stephenm Mule na Mbunge wa Yatta Robert Basil walikashifu hatua hiyo wakisema ni hatia na kinyume cha misingi ya kibinadamu. Waliilaumu serikali kwa kile wanachokitaja kuwa ubaguzi kwa wananchi katika utekelezaji wa baadhi ya amri zake.
” Nihatia dhidi yawalimwung, natujitayarishe tueleke ICC twende ushtaki hii mtu.watu wengine wametumia mamilioni kujenga nyumba zaona nyumba zao za mamilioni zinaenda kubomolea, wengine wanapatiwa notisi wengine wanaambiwa wanunue huku kambani wanaambiwa wabomolewe”. Alisema
Takribana familia 10,00 ziliathirika na ubomoaji huo ambao ulifanyika katika shamba la east afarican portland cement eneo la Mavoko.