HabariNewsPhotography

MTOTO WA MIEZI MINANE AOKOLEWA NA WAPIGA MBIZI, LIKONI FERRY

Mtoto mmoja mwenye unri wa miezi nane ameokolewa na wapiga mbizi wa kujitolea baada ya kudaiwa kurushwa bahari na mamake aliyejua ameabiri ferry ya mv kwale iliyokua inaelekea upande wa pili wa kisiwani katika kivujo cha likoni ferry.
Kualingana na walioshuhudia kisha hicho mama huyo alimrusha mtoto huyo kutoka eneo na juu ya ferry hiyo wakati feri ilikua inakaribia kufika kuegesha.
Mtoto huyo ameokolewa na kukimbizwa katika kituo cha cha redcros ambako alipata huduma ya kwanza na wahufumu hao kuthibitisha yup salama baada ya kutapishwa maji aliemeza wakati wakurudhea.
Mama yake mtoto huyo ambaye ni mlemavu aina ya bubu kupitia mmoja wa walizni wa ferri aliyemuobgrlesha Kwa ligha ya ishara amekiri kumrusha mtoto huyo kwakuwa alikua analia na alipojaribu kunyonyosha akawa Hana maziwa.
Hata hivyo mama huyo baada ya kubaibika ni mlemavu wawakilishi kutoka kampuni ya Mombasa cement wameonba kumchukua mama huyo nakumpileka katika kituo maalum cha mafunzo ya walemavu jilichoko mtwapwa.

By

News Desk