Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Mila yachangia pakubwa ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake Kilifi May 22, 2025
  • Mila yachangia pakubwa ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake Kilifi. May 22, 2025
  • Maelfu ya vijana wajitokeza kwa zoezi la kusaka ajira ughaibuni May 20, 2025
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025

Month: August 2024

  • Home
  • 2024
  • August
August 26, 20240

Polisi Watibua Maandamano ya Walimu wa Sekondari Mombasa; Mgomo ukianza Rasmi

Maafisa wa polisi mjini Mombasa wametibua maandamano ya walimu wanachama wa KUPPET waliokuwa wameanza mapema leo. Walimu hao wa shule za upili waliku

Read More
August 26, 20240

Vikao vya kutoa maoni havikufanyika ipasavyo Kilifi, tume ya kutetea haki za binadamu yasema

Shughuli ya kuandaa vikao vya kutoa maoni kuhusu mpango wa maendeleo wa mwaka 2025/26 wa serikali ya kaunti ya Kilifi imetajwa kutofanyika kwa njia ip

Read More
August 23, 20240

Mashirika ya utetezi wa haki yashinikiza haki ya ajira za nyumbani

Mashirika mbali mbali ya utetezi wa haki yanashiniza serikali kuangazia upatikanaji wa haki hasa kwa wafanyakazi ambao wamekuwa wakikosa malipo hasa w

Read More
August 21, 20240

Mradi wa Nyumba za Kisasa wazinduliwa Kisauni; Zaidi ya Vijana 2,000 kunufaika na nafasi za Ajira

Vijana eneobunge la Kisauni wanatarajiwa kunufaika na nafasi za ajira kutokana na mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa za Santana. Mradi huo chini ya k

Read More
August 21, 20240

Wafanyakazi wa nyumbani wapata utetezi

Shirika la kijamii la Youth Alive Kenya limeanzisha harakati za kuhamasisha jamii kuhusu mpango kutambua mchango wa wafanyakazi wa nyumbani hususan m

Read More
August 20, 20240

Mahakama ya Upeo Yasitisha kwa Muda Uamuzi wa Kuharamisha Sheria ya Fedha ya 2023

Mahakama ya Upeo nchini imetoa maagizo na kusitisha kwa muda sehemu za uamuzi wa Mahakama ya Rufaa uliotangaza Sheria ya Fedha 2023, kuwa kinyume cha

Read More
August 20, 20240

13 Wafariki katika Ajali iliyohusisha Basi la Coast Bus eneo la Migaa, Salgaa barabara ya Eldoret-Nakuru

Watu 13 sasa wamethibitishwa kufariki Katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea eneo la Migaa karibu na Salgaa katika barabara kuu ya Eldoret-Nakuru

Read More
August 20, 20240

Mshukiwa Mkuu wa Mauaji ya Kware avunja Seli na Kutoroka na washukiwa wengine

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware, Embakassi jijini Nairobi ametoroka kituoni alikokuwa akizuiliwa. Collins Jumaisi Khalusha mshukiwa wa mauaji ya tak

Read More
August 19, 20240

Wakazi Wenye ghadhabu Wamvamia na Kumwua Kijana Aliyemwua Babake mzazi Kilifi

Jamaa mmoja wa umri wa miaka 24 ameuawa na umati wenye ghadhabu huko Magarini kaunti ya Kilifi baada ya kumwua baba yake. Ismail Karisa Mwaiha amep

Read More
August 19, 20240

Jimmi Wanjigi Kulala Seli; akamatwa baada ya Kujiwasilisha katika Afisi za DCI

Mfanyabiashara mashuhuri na mwanasiasa Jimmy Wanjigi atalazimika kulala kwenye kituo cha polisi cha Kamukunji, Nairobi baada ya kushikwa na maafisa wa

Read More

Posts navigation

1 2 … 4 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite