Elimu kwa watu wazima ama elimu endelevu iliyoanzishwa tangu mwaka wa 1978 ina umuhimu kubwa katika kuwasaidia watu wazima kujiendeleza kitajriba na kimaisha . Ni elimu ambayo wengi wanaikumbatia baada ya kujua walichokikosa kufuatia kukatizwa kwa masomo yao .
Lakini elimu hii ilianzaje nani kwa sababu gani ?
Mwanahabari wetu Khadija Binti Mzee ametuandalia makala ya Elimu kwa watu wazima yaani Adult Education na kutufafanulia mengi kupitia simulizi za walionufaika nayo.