Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 3
August 12, 20240

Waziri mpya wa Fedha Achukua Mikoba Rasmi, Aahidi Mageuzi na Kuimarisha Mapato ya Taifa

Waziri wa Hazina ya Kitaifa ya Fedha John Mbadi ameahidi kufanyia mageuzi zaidi katika hazina hiyo ikiwemo suala la mishahara ya wafanyakazi wa umma.

Read More
August 12, 20240

Siku ya Kimataifa ya Vijana; Vijana Washinikiza Viongozi Kuwapa Nafasi za Kuongoza Kuliimarisha Taifa Kimaendeleo

Na huku Ulimwengu ukiadhimisha siku ya Kimataifa ya Vijana (IYD2024), Kenya imejiunga na mataifa mengine kuadhimisha siku hii huku wito ukitolewa kwa

Read More
August 9, 20240

Shirika LA Haki Yetu lakashifu serikali kwa kulitaka kuondoa kesi dhidi ya waziri Murkomen

Shirika la Haki Yetu kutoka Kaunti ya Mombasa limekashifu vikali hatua ya serikali kulitishia ili kuondoa kesi dhidi ya waziri wa michezo alipokuwa ak

Read More
August 8, 20240

Mwangaza Gizani Tena; Wawakilishi Wadi wa Meru Wapiga Kura ya Kumbandua Ofisini

Masaibu ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza yanaendelea kumwandama baada ya Wawakilishi Wadi kaunti hiyo kumbandua ofisini. Wawakilishi wadi 49 wamepig

Read More
August 8, 20240

Hakuna nafasi ya Uzembe na Kufeli Tena! Rais Awaonya Mawaziri

Rais William Ruto amewaagiza mawaziri kuwajibika vilivyo na kuzingatia sheria akisema uzembe hautakubalika tena. Akizungumza baada ya kuongoza hafla

Read More
August 6, 20240

Muungano wa KMPDU na KUCO yapanga kufufua upya mgomo kaunti ya Mombasa

Muungano wa Madaktari KMPDU na ule wa Maafisa wa Kliniki KUCO kaunti ya Mombasa umetishia kususia kazi iwapo Serikali ya kaunti hii itashindwa kutekel

Read More
August 6, 20240

CIPK yazindua kampeni ya kuhubiri amani na athari ya mihadarati kwa vijana ukanda wa Pwani

Kampeini ya kuhamasisha vijana eneo la Pwani kuendeleza amani na kujihusisha na miradi ya kujiendeleza imeanza rasmi kaunti ya Mombasa. Kampeini hiyo

Read More
August 5, 20240

Ugonjwa wa nasuri wahusishwa na ushirikina Viragoni, kaunti ya Kilifi

Wakazi wa Viragoni eneo bunge la Kaloleni, wanahusisha ugonjwa wa nasuri maarufu fistula na ushirikina, hali hii ikisababisha wanawake wengi wanao

Read More
August 5, 20240

Waziri Mkuu wa Bangladesh Ajiuzulu na Kutoroka Nchi

Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kukimbia nchi kutokana na maandamano yanayoendelea ya kupinga uongozi wake. Haya ni

Read More
August 2, 20240

Waziri Mteule wa Mazingira Aapa Kukabiliana na Unyakuzi wa Ardhi za Misitu Atakapoidhinishwa

Waziri mteule wa Mazingira Misitu na Mabadiliko ya Tabianchi Adan Bare Duale ameapa kupambana na mabwenyenye wanyakuzi wa ardhi za misitu kwa muda wa

Read More

Posts navigation

Previous 1 2 3 4 … 38 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite