EntertainmentHabariNews

Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!!

Kulinga na na yeye kitu ambacho anapenda sana kukifanya ni sanaa ya ushairi ambayp imechukua nafasi kubwa ya maisha yake, ukichilia mbali ushairi pia anapenda sana kupiga ala za mziki na kuimba. Kijanana kutokea kwenye mitaa ya mabanda ya kibra ambaye kwa anazidi kuwadhihirishia watu uwezo wake kila uchao. Majina kamili anafahamika kama Fredrick Okal almaarufu Obelia Sea fur, kwa wengi huenda akawa mgeni lakini hii talent ambayo watu wataielewa mda si mrefu. Kwa mara ya Kwanza kabisa anarekodi ngoma yake ilikua 2019. Kabla ya hapo kanisa ndo ilikuwa sehemu moja wapo iliyo msaidia kupiga msasa kipaji chake akiimba kwenye kwaya kitu kilimsaidia kukuza kipaji chake. Obelia amefanya kazi kadhaa ambazo zimekuwa na mapokezi mazuri sana. Waridi, Naogopa na Nipende ni baadhi ya kazi ambazo ziliwaaminisha mashabiki na hata kumpa motisha wa kufanya kazi mpya “Ntaitwa baba” ambayo pia inafanya vizuri   mpaka sasa.

Hizi hapa baadhi ya kazi zake

https://www.youtube.com/@obelia_sea_fur/videos