Askofu Mkuu wa Anglikan, Jackson Ole Sapit, amekosoa mipango ya kuinua uchumi katika kaunti ndogo nchini inayoendelezwa na serikali na viongozi wengine akiitaja kama inayoendeshwa kisiasa.
Sapit alisema kaitka shule ya Upili ya Wasichana Limuru, kuwa serikali inafaa kuwekeza katika kufanikisha mahitaji muhimu nchini kama vile ufadhili wa elimu badala ya kutumia fedha nyingi kufanya mkitano ya kisiasa na miradi isiyo na umuhimu mkubwa.
“Handouts will never change anybody’s life. They will get it and finish it in the evening with the liquors and other bad habits.
When you teach people how to work and ensure that we have markets for our crops, I think what the government needs is to put all the money being spent in these barazas and even in these many campaigns, be it from the opposition or the government, into our schools,” alisema Ole Sapit.
“We want the funding model of the universities to work. We want the healthcare system to work” aliongeza.
Kiongozi wa kanisa pia alielez haja ya sekta ya kilimo nchini kuangaziwa na kuhakikisha inafanya kazi ipsasavyo.
‘We also want the agriculture sector to work, that the government should put infrastructure in place so that every farmer will have the opportunity to take their produce to market in time because there are good roads.” Alieleza mkuu wa huyo wa kanisa.
Pia alilaumu kuongezeka kwa vurugu za kisiasa, akionya kwamba ina hatarisha utulivu wa kitaifa na kuwataka Wakenya kuhifadhi maeneo ya kidemokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa.
BY NEWS DESK