Baraza la Magavana CoG, limetishia kusitisha kutoa huduma katika kaunti zote 47 nchini iwapo Serikali Kuu haitakuwa imetoa fedha za kaunti zilizosalia
Read MoreMchakato wa kuhakikisha kuwa jamii inaishi kwa amani na kukomesha visa vya mauaji ya wanawake umeanzishwa eneo la Kibarani viungani mwa mji wa Kilifi
Read MoreKeNHA Kufunga Kwa muda Barabara Kuu ya Msa-Nairobi eneo la Daraja la Makupa na Changamwe Interchange
Mamlaka ya Barabara Kuu nchini (KeNHA) imetangaza kufunga kwa muda sehemu ya Barabara Kuu ya Mombasa-Nairobi kati ya Daraja la Makupa na Changamwe Int
Read MoreBalozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman ametangaza kujiuzulu. Whitman ambaye amekuwa katika wadhifa huo tangu mwaka wa 2022 ameelezea uamuzi wake
Read MoreTakribani wakazi 198 wa eneo la Kwachocha Malindi kaunti ya Kilifi sasa wanaitaka Serikali kuwafidia mara moja baada ya ardhi yao kuchukuliwa na Mamla
Read MoreNaibu Rais Prof. Kithure kindiki ameongoza kikao chake cha kwanza cha Baraza la Mawaziri katika makao yake rasmi ya Karen jijini Nairobi. Mkutano huo
Read MoreAliyekuwa Mwenyekiti wa IEBC Isaack Hassan na Mbunge wa Zamani Charles ‘Jaguar’ Watunukiwa Kazi Serikalini; Rais William Ruto akifanya teuzi kadhaa ku
Read MoreMtu mmoja amefariki na wengine wanne wakiokolewa baada ya kufunikwa na mchanga katika jumba linalojengwa eneo la Majengo-Sega, kaunti ya Mombasa. Kul
Read MoreWatu 25 wakiwemo wanajeshi 14 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni katika wilaya Balochistan nchini Pakistan, huku mamia ya wengine wakiripo
Read MoreKikosi kipya cha maafisa wa polisi 600 wa Kenya kitakachotumwa nchini Haiti kuyakabili magenge ya wahalifu kimehitimu tayari kutumwa nchini humo mwe
Read More