HabariSiasa

KEMSA yahimizwa kutositisha usambazaji dawa kwa kaunti kufuati madeni

Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliff Oparanya ameiomba mamlaka ya usambazaji dawa nchini KEMSA kutositisha zoezi la kusambaza dawa na vifaa vya matibabu kwa serikali za kaunti kufuatia madeni.

Akizungumza wakati wa mkutano na mwenyekiti wa KEMSA Kembi Gitura, Oparanya amesema hatua ya kwamba ni wakati wa kuyaacha mataifa mengine kuongoza taifa hili.