Gumzo limetanda mitandaoni sana mitandaoni kuhusu msanii mpya Chini ya 001 Music Happ Chondo Juma Almaarufu Happy C Amefunguka kuhusu issue ya yeye kufananishwa na Nguli wa Bongo Flavour Alikiba kimuonekano na hata uimbaji wake. ”kwanza sikatai mimi kufanana na Alikiba kwa sababu mimi ni shabiki mkubwa sana wa Alikiba lakini tusisahau kwamba Alikiba atabaki kuwa Alikiba na Happy C Abaki kuwa Happy C.
Msikilize Hapa