Halmashauri ya Bandari nchini KPA imetoa msaada wa chakula chenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa familia zilizoathrika na ukame eneo la Kinango k
Read MoreGavana wa Kwale Fatuma Achani amewaagiza wanakandarasi wanaosimamia miradi ya maendeleo ya Kaunti wawapatie kipaumbele katika utoaji nafasi za aji
Read MoreMadereva wa texi katika kaunti ya Mombasa wameeleza furaha yao baada ya mahakama ya leba kuamuru marubani wa ndege wa shirika la ndege la kenya air wa
Read MoreMgomo wa muungano wa madaktari hapa Mombasa uliokuwa umepangwa kufanyika siku ya Ijumaa wiki hii huenda ukastishwa. Hii ni baada ya gavana wa kaunt
Read MoreMadereva wa texi kaunti ya Mombasa wanasema wanakadiria hasara kutokana na mgomo wa marubani wa shirika la ndege la Kenya air ways unaoendelea nchin
Read MoreBaadhi ya wakaazi wa kaunti ya Mombasa wamesisitiza haja ya serikali kuhusisha umma kabla ya kuongeza ushuru huku wakidai kuna baadhi ya mabwanyenye s
Read MoreWatu wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hosipitali kuu ya makadara baada ya kuvamiwa na kundi la wahalifu asubuhi ya kuamkia leo katika wodi y
Read MoreWito umetolewa kwa gavana wa Mombasa Abdul Swamad Shariff Nassir kufanya mazungumzo na baadhi ya maafisa wa kaunti wanaodaiwa kuwahangaisha wafanyabia
Read MoreIdara ya usalama katika eneo la Likoni Hapa Mombasa imekanusha madai ya maafisa wa polisi kuwahangaisha wahudumu wa Boda boda katika eneo hilo. Mku
Read MoreAsilimia 18.7 ya vijana wanaotumia dawa za kulevya kwa kujidunga sindano wametajwa kuwa katika hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi kaunti ya
Read More