AfyaHabariScienceWorld

Wakaazi wa kaunti ya Lamu wamekiri kuna haja ya viongozi wakuu serikali ya Lamu kuonyesha mfano bora kwa kudungwa chanjo ya kudhibiti virusi vya Corona kabla ya wananchi kudungwa chanjo hio.

Wakaazi wa kaunti ya Lamu wamekiri kuna haja ya viongozi wakuu serikali ya Lamu kuonyesha mfano bora kwa kudungwa chanjo ya kudhibiti virusi vya Corona kabla ya wananchi kudungwa  chanjo hio.

Jambo walilolitaja litawafanya wananchi kuamini chanjo hio ni salama.

Wakaazi hawa wanataka viongozi hawa hasa Rais Uhuru Kenyatta, Naibu wa Rais William Ruto na mawaziri na magavana kutangulia kudungwa  chanjo hii kudhihirisha kua haina madhara.

Aidha wakaazi hawa wamesisitizia hofu yao kwa chanjo hii na hatua hii itapelekea chanjo hii kuwa salama.