HabariMichezoMombasa

Shughuli za michezo Kaunti ya Mombasa zaendelea kuathirika kutokana na ukosefu wa viwanja.

Marekebisho yaliyokuwa yakiendelea katika uwanja wa wa Kaunti ya Mombasa  zamani ukijulikana kama Mombasa municipal stadium yameathirika  pakubwa na kuzidi kulemaza juhudi za kupata kiwanja kipya hivi karibuni. Haya yanajiri punde tu baada ya shughuli za kukarabati uwanja huo kuanza na kuendeshwa kwa mwendo wa Kinyonga

Uwanja wa Mombasa county unahistoria ndefu kwani vigogo kama JJ Okocha..Nwankwo kanu wamewahi kucheza uwanja huu unaoonekana mahame kwa sasa.

Na Japhet Kahindi Makanaki