BurudaniEntertainment

NEW MUSIC ALERT!! RYSTAR-NISHACHOKA

Tasnia ya mziki inazidi kukua kila uchao Talanta zinaibuka wote waking’ang’ania kuwa masupastaa tajika hapa Pwani. Rystar ni Msanii Wa Kike chini ya Uongozi wa KORI PRODUCTION.

Rystar ni msanii mwenye uwezo wa kipekee, na huenda akawapa changamoto wasanii wa kike wanao tamba hapa Pwani kama ile Adasa, Akeelah, Nasha Travis na Sai.

Rystar kwa sasa anatamba na kiba nishachoka.

Isikilize hapa.