BurudaniEntertainment

NEW MUSIC ALERT!! K.O FT FEMI ONE-CHORA

Ni mziki na masomo, msanii anaye kuwa kwa sana kutoka hapa Mombasa K.O amekuja tena na ujio mpya. Baada ya kufunga shule Msanii huyo anayesomea shule ya upili ya Shimo La Tewa aliingia studio na kutoa ngoma inayoelezea mapenzi kwa mtoto wa kike aliyomshirikisha Rapa wa kike kutoka Nairobi Femi One.

Chini ya Uongozi wa 001Music K.O Ameweza kutambulika kwa ngoma  kama vile Bado aliyomshirikisha Kaa La Moto iliyotawala chati za mziki hapa Pwani.

Itizame kazi mpya Ya K.O hapa.