BurudaniEntertainment

ALLY B: COKE STUDIO WANA UBAGUZI, NI LAZIMA UWE KWA SYSTEM NDO UINGIE…………..

Kwa mda mrefu wasanii kutoka kanda ya Pwani wameishi kutizama tu wenzao wakipata biashara za ubalozi na pia kuperfom kwenye majukwaa makubwa kama vile Coke Studio Africa na kadhalika. Maswali yamekuwa mengi sana kuhusu wasanii kutoka kanda ya hapa Pwani kutoonekana kwenye majukwa haya licha ya wao kuwa na vipaji na uwezo mkubwa sana kimziki. Msanii Nguli wa Mziki kutoka hapa Pwani Ali Khamis Mwaligulu almaarufu Ally B alifunguka na Kusema kwamba kuingia katika majukwaa si talanta ila pia kuna mfumo fulani ambao lazima mtu aufuate ndo aweze kupata nafasi kama hizo.

Msikize hapa

By: Yussuf Tsuma