BurudaniEntertainment

SIMBA ZEE[MR.KILIFI]: ALALAMA, GAVANA KINGI HAKUFANYA VIZURI KUMSIMAMIA REAGAN DANDY PEKE YAKE……………..

Msanii Rapa anayeimba mziki wa kaya hiphop Simba Zee almaarufu Rijamaa Ra Kilifi amlalamikia Gavana wa Kaunti ya Kilifi Amason Jefa Kingi kwa kuegemea upande mmoja.

“Ukweli uko wazi Simba Zee Ndo ilihit ya Kwanza hala ikafuatwa na vidze Ko! angeamua kutufanyia video sote” Alisema Msanii Simba Zee.

Msikize hapa