HabariLifestyle

Serikali yatoa shilingi Bilioni 4 Kuinua Jamii………………..

Serikali imetoa shilingi bilioni 4.4 za mpango wa inua jamii mpango ambao hutoa msaada wa kifedha kwa wazee, walemavu na mayatima hapa nchini kila mwezi

kulingana na taarifa kutoka kwenye wizara ya leba na maswala ya jamii pesa hizo watapewa watu zaidi ya milioni 1 waliojisali kwenye mpango huo wa inua jamii

Kulingana na taarifa ya serikali pesa hizo zitaanza kusambazwa jumatano wiki hii ambayo ni tarehe 5  mwezi huu wa mei wahusika wakipokea shilingi 4000 kila mmoja za miezi miwili.

Na Meza Ya Habari