BurudaniEntertainment

New Music Alert!! NADIA MUKAMI AACHIA NGOMA “NIPE YOTE”.

Nadia Mukami ama ukipenda Kanadia ameachia kibao kwa jina “Nipe yote” baada ya tetesi kutamba mitandaoni kuwa alikuwa amepata mpenzi aliyemtambulisha kama ‘Priyan’.

Nadia alieleza kuwa Priyan alikuwa amempa furaha na kwamba anaazimia kuwa watakuwa “THE NEXT CELEBRITY COUPLE”.

Haya yanajiri siku chache tu baada ya kupost picha katika mtandao wake wa instagram akiwa hospitali baada ya show aliyotumbwiza mjini Busia, tetesi zikiwa mashabiki walikataa kutumbwizwa kwa dakika kumi ilihali walilipa kima kizuri cha fedha.

Huu hapa ni wimbo wakw mpya…

By Leon Nkaduda.