HabariNews

Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang’i atangaza siku ya May 14 kuwa likizo ya Idd-ul-Fitr…

Waziri  wa mambo ya ndani  Fred Matiang’i  ametangaza siku ya May 14 kuwa likizo ya Idd-ul-Fitr…

Idd-ul-Fitr inaidhinisha mwisho wa mwezi wa Ramadhan, mwezi wa kufunga na kuomba.

Ni siku ya kwanza ya Shawwal, mwezi wa kumi wa kalenda ya kiislamu.

By Leon Nkaduda