HabariSiasa

Wabunge  Moses Kuria na Ndindi Nyoro  walifika bungeni kujibu madai ya utoaji hongo wakati wa kupigia kura mswaada wa marekebisho ya katiba BBI…

Wabunge  Moses Kuria wa Gatundu Kusini, na Ndindi Nyoro  walifika bungeni kujibu madai ya utoaji hongo wakati wa kupigia kura mswaada wa marekebisho ya katiba BBI.

Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa kipindi cha siku 4 hii ni baada ya  kutoa madai ambayo yamekosolewa vikali na wabunge wenza na spika wa bunge lllaaa kitaifa Justin Muturi.

Nyoro anadaiwa kutoa matamshi aliyowataja baadhi ya wabunge kuwa waoga na wasaliti miongoni mwa madai mengine.

Aidha mwenzake wa Gatundu kusini Moses Kuria alikiri kupokea hongo wakti wa kura.

By Joyce Mwendwa