HabariSiasa

Rais Uhuru Kenyatta amteua jaji William Ouko kuwa jaji wa mahakama ya upeo.

Rais Uhuru Kenyatta amteua jaji William Ouko kuwa jaji wa mahakama ya upeo.

Ouko anatarajiwa kuchukua nafasi ya jaji Jackton Ojwang ambaye alistaafu mwezi Februari mwaka jana

Itakumbukwa kuwa tume ya idara ya mahakama JSC ilimteu jaji Ouko wiki iliyopita baada ya mahojiano ya kumtafta jaji wa mahakama ya upeo.

Watu tisa walikuwa wametuma maombi ya kutakaa kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama ya juu.

By Joyce Kelly