BurudaniEntertainmentMombasa

AKEELAH ADONDOSHA KIPYA!!!

Baada ya kimya kirefu msanii kutoka Hakim Empire almaarufu  Akeelah amedondosha kibao kipya kwa jina “mama”.

Katika kibao hicho ameonekana akimsifia sana mama na kumuita shujaa kwa yale mengi ambayo amemtendea…

Na hiki hapa kibao chenyewe…

By Leon Nkaduda