BurudaniEntertainment

“Haya Lolani Katsungula Kanazazigira Nzovu!!”

Reagan Dandy (vidzeko hitmaker) katika mtandao wake wa facebook aliandika maneno haya akimfananisha Nasha Travis kama sungura na yeye kuwa ndovu kumaanisha kuwa sungura anacheza karibu na ndovu.

Haya yanajiri baada ya wawili hao kutoa kibao kwa jina ‘Nadata’ ikiwa ni Nasha anamshirikisha Reagan na kwamba aliandika maneno haya ili kupromote wimbo huo ambao kwa sasa unafanya vyema katika mtandao wa youtube.

Hiki hapa ndicho kibao chenyewe.

By Leon Nkaduda.