BurudaniEntertainmentHabariMombasa

NEW MUSIC ALERT NAANGALIA KIUNO (KELECHI AFRICANA)

Baada ya kimya cha mwezi mtukufu wa Ramadhan kutanda sasa ni zamu ya Kelechi Afrikana kutamba na ngoma mpya ” Naangalia kiuno” Kelachi Africana ni mmoja ya wasanii wenye uwezo mkubwa licha ya kukaa kimya ameweza kuhimili mawimbi na msukumo mkali kutoka kwa mashabiki ikiwemo kushambuliwa na mashabiki, huku wakidai kuwa amefulia.Kwenye ngoma amewasifia watoto wa kike Kama vile Vera Sidika, Hamisa Mobetto, Hudda Monroe na Akeelah.

Amerudi tena sasa!!

Naangalia kiuno…itazame hapa.

By Yussuf Tsuma