BurudaniEntertainmentMombasa

MMETUZOEA SANA!! UJE NA ELFU HAMSINI AMA UKAE NA SHOW YAKO” MLOLE CLASSIC AWACHARUKIA WANASIASA

Msanii Salim Kiriro Adnani a.k.a Mlole Classic kupitia mtandao wake wa facebook aliandika ”Kama wewe ni mwanasiasa yoyote unataka nikufanyie ngoma ya siasa ukija kwangu ukuje na 50k COZ nimewazoea utakuwa mzuri wakati wa siasa UKIPATA kiti huna time tena unasahau nguvu ZETU Sasa Kama Huna hiyo 50K Wacha ikae WENGI mmepiga simu bei NDIO hiyo nafuu tu welcome #mzikibiashara usitumiwe vibaya”

By Yussuf Tsuma