BurudaniEntertainmentLifestyleMombasa

RAMA K RAPPER: ALLY MAHABA NA ESCOBAR WALIONGEA VIBAYA KUNIHUSU BAADA YA KUTOA NGOMA YA TAARIFA.

Msanii wa HipHop Rama K Rapper kutoka hapa Mombasa amefunguka na kusema kwa baada ya kutoa ngoma ‘Taarifa’ aliyomshirikisha Jaffaryzzo, kuna Baadhi ya Wasanii hawakuipokea ngoma hiyo vizuri wakiwemo Ally Mahaba na Escobar.

Ikumbukwe kwenye ngoma yake ‘Taarifa’ alikuwa amewaimba baadhi ya wasanii kutoka hapa Mombasa kama vile Chikuzee, Ally Mahaba, Escobar n.k

Msikilize hapa