BurudaniEntertainmentMombasa

SULTANI WA WAPWANI: JUA KALI ALINIKATALIA COLLABO|AKOTHEE YUKO NA SHIDA

Msanii muasisi wa mziki wa kizazi kipya kutoka hapa Mombasa anayekwenda  Kwa jina  Sultani wa Pwani kwenye mahojiano ya moja  kwa moja Katika Kipindi cha Sheshe La Pwani alifunguka na Kusema Kuwa Mkongwe Wa mziki wa Genge Kutoka Nairobi Jua Kali alikataa kufanya Collabo na yeye. Sultani Wa Pwani ni mmoja ya Wasanii Wachache kutoka Mombasa Kuwahi kufanya collabo na wasanii wakubwa kutoka Nairobi.

Msikilize Hapa

By Yussuf Tsuma