BurudaniEntertainmentHabari

ADASA AANDIKA WARAKA WA HISIA KWA BABAKE: NAJUA HUPENDI NIFANYE MZIKI ILA NAKUAHIDI, SIKU MOJA NTAKUFURAHISHA………

Ikiwa ni siku ya kusherehekea akina baba duniani, Msanii wa kike anayekwenda kwa jina Adasa kutoka hapa pwani kupitia ukurasa wake wa instagram amfunguka mazito kuhusu tofauti zilizoibuka kati yake na babake mzazi baada ya yeye kuamua kufanya mziki.

By Yussuf Tsuma