BurudaniEntertainmentHabariMombasa

M.Safaree: Mimi sibabaishwi na Rapa yeyote………….

Msanii kutoka kundi la Jacugaz M.Safaree aliyeshirikishwa katika ngoma ya msanii mdogo zaidi hapa Pwani Rystar amefunguka na kusema kwamba hakuna Msanii ama Rapa yeyote anayembabaisha kwenye battle na kwamba anaweza kubattle na Rapa Yeyote.

Msikilize hapa

 

By Yussuf Tsuma