AfyaHabari

Watoto wapatao elfu 165 kaunti ya Garissa kuchanjwa dhidi ya ukambi….

Wizara ya afya katika kaunti ya Garissa inatarajia kuwachanja watoto 165 000 dhidi ya ugonjwa wa ukambi.

Zoezi hili ambalo linatarajiwa kuanza hapo kesho limelenga watoto waliokati ya miezi tisa

Kulingana na mkurungenzi wa afya wa magonjwa ya kusambaa kaunti ya Samburu Ibrahim Gedi,amewahimiza wazazi kuhakikisha watoto wanachanjwa kwani ugonjwa wa ukambi hauna tiba

Gedi anasema kaunti ya Garissa inapitia changamoto nyingi kwani inapakana na nchi jirani ya Somalia ambayo watoto wengi hawapati chanjo hizo.

Hata hivyo kwa upande wake msemaji wa kamishna kaunti ya Samburu Ignatius Mukabwa ameitaka serikali ya kaunti kuboresha huduma za afya kaunti hiyo.

By Reporter