BurudaniEntertainment

ACHENI KUIGA!!! SHABIGY AWAPA MAKAVU MARAPPER WA PWANI YA KENYA….

Kupitia mtandao wake wa facebook, Shabigy alikuwa na haya ya kusema

“Tuanze na coast kuna freestyler anafunguka Kama #mitaakisauni

….usiskize matusi skiza anavyo panga stanza na ureal wa kumfinya mjusi…..
…….Kama unajiamini umeaga kwenu unaenda sokoni mtafute.
….freestyle sio kuandika”
BY MAKANGA YUSSUF