BurudaniEntertainment

KUTANA NA JULIO DIATOS, MSANII ALIYEFANYA KAZI NA FALLY IPUPA……………

Julio Diatos ni msanii Mwenye asili ya Congo anayepiga shugli za mziki nchini Kenya. Katika mahojiano hapa Sauti Ya Pwani Fm, Julio alifunguka na kusema kuwa aliwahi kufanya kazi na na Fally Ipupa lakin ikafika wakati akapoteza matumaini na hapao akaamua kuhamia Kenya  na kufanya mziki wake kivyake.

Msikilize hapa