BurudaniEntertainmentHabari

New Music Alert!! USIKU MMOJA, JOVIAL FT DARASA

Bado ngoma alliyoshirikishwa na  Otile Brown inafanya Vizuri kwenye mitandao na chat za mziki Afrika Mashariki,Msanii Jovial kutoka Hapa Mombasa ameliamsha popo tena kwa kutoa ngoma inayokwenda kwa jina Usiku mmoja aliyomshirikisha  Rappa Darasa Cmg kutoka Tanzania.

Itazame hapa.

https://youtu.be/7-KPsd2kvig

 

By Yussuf Tsuma