Habari

Waziri Matiang’i atangaza Jumanne 20 Kama sikukuu ya Kitaifa

Waziri wa usalama wa ndani ya nchi dkt Fred Matiang’I ametangaza siku ya jumanne 20 mwezi huu kuwa siku ya mapumziko

Kupitia gazeti la serikali Matiang’I amesema kuwa siku ya jumanne ni sikukuu ya kitaifa kufuatia sherehe za Idd-Ul-Adha.

Waumini wa dini ya kiislamu husherekea siku hii baada ya mfungo wa siku 10.

 

By News Desk