BurudaniEntertainmentHabari

New music video Alert !!! Umepanda Bei-CSM Wazito

Baada ya kutamba  na Medicine Remix  ngoma waliomshirikisha Ndana Miqasa kutoka hapa Pwani Kundi la Mziki linalokua kwa kasi sana kutoka kaunti ya Kilifi Csm Wazito hatimae wameachilia video mpya ya wimbo wao Umepanda Bei, hii ni  baada ya Kuachilia nyimbo hiyo miezi miwili iliyopita. Kundi La CSM Wazito ni kundi linalojunuisha wasanii wawili Baila Boy Na Innos Mitindo.

Itazame kazi yao mpya hapa.

By Yussuf Tsuma