BurudaniEntertainmentHabari

New Music Video Alert!! SUSUMILA ft RECKLESS -KIUNO.

Baada ya kukaa kimya mda wa miezi mitano na hata kuahirisha kuachilia Ep yake ya King is King Hatimae Msanii Mkongwe wa Mziki kutoka hapa Pwani, Yusuf Kombo almaarufu Susumila ameachiliaa Ep kwa njia ya kipekee kabisa, kwa kawaida wasanii wengi wanapoaachilia Ep ama Album huzieka kwenye mitandao ya kijamii yote lakini Kwa Susumila haikua hivo kwani aliachia Ep hiyo kwenye mtandao wa Boom Play peke yake. Hata hvyo punde tu baada ya kuiachilia Ep Hiyo ameachilia video ya ngoma ya kwanza Kwenye Ep hiyo KIUNO aliomshirikisha Reckless Wa Ethic EntertainMent 

Itazame hapa