BurudaniEntertainment

NEW MUSIC VIDEO ALERT!!! NAWE-ADASA

Baada ya kimya kirefu tangu collabo ya mfalme wa genge Mejja, msanii wa kutoka hapa kaunti ya Mombasa Esther Mwangala almaarufu Adasa amevunja kimya chake kwa ujio mpya na kibao kipya katika mtandao wake wa youtube kwa jina ‘Nawe’.

Hiki hapa kibao chenyewe…

BY LEON NKADUDA.