HabariNews

MWANAMUME AFARIKI PAMOJA NA WAZAZI WAKE KATIKA SHAMBULIZI LA KUJITOA MUHANGA HUKO KISUMU.

Mwanaume mMoja pamoja na wazazi wake wamefariki katika eneo la Katito nyakach kaunti ya Kisumu baada ya bomu la kujitoa mhanga kulipuka ghafla.
Joseph Odhiambo Ondiek almarufu pope alielekea nyumbani kwa Perto Onyango na kumpata na mkewe pamoja na mwanamwe na kuanza kuwa uliza maswali kabla ya bomu hilo kulipuka
Duru za kuaminika kutoka kwa maafisa wa polisi zinasema mshukiwa ni miongini mwa makurutu wa kundi la kigaidi la alshababu walio regea na ametumia bomu ambalo limetengenezwa humu nchini kutekeleza unyama huo
Aidha tarehe 17 Disemba mwaka wa 2020 alituhumiwa kwa kuhusika na kisa sawia na hicho baada ya kujaribu kumuua mpenzi wake kwa tuhuma za kutembea na mwanaume mwingine

BY NEWS DESK